Numbers 34:17-18

17 a“Haya ndiyo majina ya watu ambao watakusaidia kugawanya nchi kama urithi: Eleazari kuhani na Yoshua mwana wa Nuni. 18 bTena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi.
Copyright information for SwhNEN